21 December 2019 1 Min Read
Hii imeweza: Sauti sol wazindua kibao kipya cha Krismasi (VIDEO)
by Brian Ndungu Habari
Kikundi cha Sol Generation kikiongozwa na kundi la Sauti Sol kimeamua kufunga mwaka kwa kishindo! Hii ni baada ya kuzinfua kibao kipya kwa jina 'Ukiwa mbali'.
Wimbo huo ambao wanawashirikisha Bensoul, Nviiri the Storyteller, Kaskazini na Crystal Asige, ni wa kusherehekea krismasi na pia kusherehekea mwaka bora kwao kimziki.
Tazama kanda hii ya kufurahisha macho;