(+Picha) Jacque Maribe, Orodha ya watangazaji wanaokabiliwa na kesi za mauaji
Kuna baadhi ya sura tunazozitazama katika runinga zetu ambazo mbeleni au sasa zimehusishwa na kesi za mauaji.
Mastaa hawa kwa njia moja ama nyingine wamehusishwa moja kwa moja ama kuwa mashahidi katika kesi hizo.
Kuna baadhi yao wamefungwa jela,wengine kesi zinaendelea wanasubiri uamuzi.
Soma hadithi nyingine;
4. Moses Dola
Moses alifungwa miaka 10 kwa mashtaka ya kuua mkewe Wambui Kabiru nyumbani kwao Umoja Mei 1, 2011.
Soma hadithi nyingine;
mzozo ulitokota kipindi na ambapo Dola alikuwa amefungulia sauti ya juu ya muziki na ingeamsha mtoto mchanga hivyo ugomvi ukaanza.
4. Jacque Maribe
Kesi ya mwanadada huyu inaendelea katika mahakama.
Maribe alikamatwa na mpenzi wake Joseph Irungu kuhusiana na kifo cha mfanyabiashara Monicah Kimani.