oBAMA.jfif

Rais  wa zamani wa Marekani Barrack Obama leo amewasha mitandao na  kwa ujumbe mtamu aliyomtumia mkewe Michele ambaye leo ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa . Wapenzi hao wawili ambao uhusiano na ndoa yao imetajwa kama kielelezo na kuwavutia wengi   wamefahamika kuwa na  urafiki mzuri sana kama wanandoa .

https://twitter.com/BarackObama/status/1218174463046553600

Michelle leo ametimu umri wa miaka 56 na mume wake katika ujumbe wake  akisema  'In every scene, you are my star'.

 

View Comments