- b club 4
- Gari la Babu Owino katika eneo la B Club
- Eneo la B Club ambalo sasa ni sehemu ya tukio
- Eneo la B Club

 B Club  eneo la burudani ambako tukio la mtu kupugwa risasi limetokea sasa limezibwa na polisi kama eneo la  mkasa uchunguzi ukiendelea kuhusu tukio hilo.

B Club ni maarufu sana miongoni mwa wanaotajika katika siasa ,biashara na sanaa nchini na kila siku kuna  wateja waliojaa  na karamu za kila mara .

View Comments