20 January 2020 1 Min Read
Kenya Ina Mambo! Video ya Jamaa mmoja akipiga punyeto hadharani yawashangaza wanamitandao
by Yusuf Juma Habari
Kwa kweli kama hujayaona yote basi njoo Kenya na utayashuhudia mpaka ya kutamausha .Video moja inayosambaa kasi mitandaoni imewashangaza wanaotumia kumbi za kijamii baada ya jamaa mmoja kuonekana ‘akinyonga nyani’ ama kupiga punyeto hadharani- mchana peupe.
Haijabainika video hiyo ilichukuliwa wapi lakini ni katika steji ya mabasi hapa jijini.
https://twitter.com/millyochieng_/status/1219213563107192832
Wanadada wawili waliokuwa mbele yake waliyashuhudia yote na wanaoonekana wakishangazwa na ‘ujasiri’ wa jamaa huyo . Wakati mwingine unapoamua kumsalimia mtu mikononi ,tahadhari na ndiposa ni muhimu sana kudumisha usafi wakati wote na kujiepusha na hatari kama hizo za walimwengu.Duh! Kenya ina mambo!