Derrick, 29, na mkewe bi Maureen, 29, akidai wawili hao wamekuwa kwa ndoa ya miaka 11 na wakajaliwa watoto wawili ila mmoja aliaga dunia.

"Baada ya kuoana tukiwa wachanga tuliingia katika hali ambapo mmacho yanafunguka na unaanza kuona mabaya ya mwingine. Tulisuluhisha hayo lakini ikafika mahali na akaanza kusafiri sana kwenda kwao." Alisema Derrick.

Aliongeza,

Sasa nikitaka kujua mambo, vurugu zinaanza na kwa sababu yeye ni mrefu kuniliko alikuwa ananipiga makofi ya madharau. Tulikuwa tunazungumza hapo awali ila sasa hivi imekuwa mda sana. 

Isitoshe, Derrick anadai kuwa mkewe alimpa masharti ya kujenga boma lao na kisha awapeleke watoto katika shule ya bweni na anakiri hawezi kutekeleza hayo pekee yake.

Hata hivyo, bi Maureen hakutaka kujibu simu zetu na ilibidi tuwape waskilizaji nafasi wam

View Comments