- Msanii wa UG Spice Diana na Dadake Brenda
- Picha za Brenda,dadake msanii Spice Diana

Msanii nyota wa Uganda Spice Diana  jana aliwasha mitandao ya kijamii kwa kuweka picha za dadake na ujumbe maalum wakati akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa . Diana aliandika-

 Happy birthday to my baby sister @brenda_darlingz . You the most annoying creature in my world , but I love you. Enjoy your new age . May God grant you healthy life, n make all your wishes come true.

I like the good girl in you lately 😉😍

Wengi   walioziona picha za Brenda katika ukurasa wa facebook wa dadake Spice Diana  hata hivyo walizungumzia mnato na urembo wake .  Brenda alipiga pozi kadhaa  ambazo dadake aliweka mtandaoni . Hata hivyo  Diana hakueleza Brenda alikuwa akitimu umri wake .

Tazama picha za Brenda ambazo zimewatoa wanaume Kijasho

View Comments