Siku ya Siku!:Penzi la Itumbi laning'inia ,’ KOT watoa hisia kuhusiana na Jowie kuwachiliwa na mahakama.
Baada ya habari kuchipuka kuwa Joseph Irungu almaarufu Jowie amechiliwa kwa dhamana ya millioni mbili, wananchi wengi wametoa hisia tofauti kuhusiana na jambo hilo.
Kupitia mtandao wa kijamii wa twitter Dennis Itumbi alimkaribisha Jowie huku wengi wakimkejeli na kumwambia kuwa mpenzi wake Jacque Maribe hatokuwa na yeye kwa sababu kipenzi cha zamani kimewasili.
KOT wanaamini Dennis alikuja katikati ya penzi la wapenzi hao wawili.
Jowie amefungwa zaidi ya mwaka mmoja huku waliyeshtakiwa na yeye Jacque Maribe akiachiliwa kwa dhamana mwaka 2018.
Rafikiye Jowie, Joe Muchiri ameendika ujumbe wa kuwarai wakenya na marafiki kujitokeza na kuchanga pesa ambazo mshukiwa huyo atalipa kama dhamana .
Baadhi ya hisia zilizotolewa na KOT ni kama vile zifuatavyo;