Alipoulizwa kuhusiana na jinsi anatunza mwili wake ,Kwamboka alijibu kwa kusema kuwa watu wa familia yao huwa na miili mikubwa na hivyo watu wasimchukulie kama aliyeratibu ama aliyekunywa dawa za kuongeza uzani ili kuwavutia wanaume.

Akiulizwa iwapo ana ujumbe wowote kwa vijana wa jinsia yote alikuwa na haya ya kusema ,

“Do not waste time on things that don’t make you happy because we are here for a short time, be happy do whatever makes you happy,".