84826384_557231415148592_1851371626988924732_n

Uvumi umekuwa ukienea sana katika mitandao ya kijamii kuwa Rue Bbay na MCA Tricky ni wapenzi maneno ambayo si ya ukweli

Kupitia mtandao wa kijamii shabiki mmoja aliwauliza wafafanue uhusiano wao ambapo MCA Tricky alisema ni marafiki na hakuna uhusiano mwingine.

" My relationship with Rue ni complicated, Rue ni beshte yangu sana halafu venye umeona hizo clips tumekua tukifanya na yeye projects kadhaa za entertainment

So nmem incorporate kwa hizo clips unajua ukicreate online content lazima uchose characters wisely." MCA Aliandika.

Kupitia mtandao wa kijamii Akothee Amefichuwa mazungumzo kati yake na baba Rue akiuliza uhusiano wa Rue na mcheshi MCA Tricky.

Akothee alimueleza kinagaubaga uhusiano kati ya Rue na MCA Tricky, haya hapa mazungumzo yao.

Leo nimepokea simu kutoka kwa babake Rue akidai anataka majibu ya uhusiano kati ya kijana wangu@MCA Tricky na msichana wangu @Rue.

Baba Rue: Esther how are you

Me: fine how are you?

Baba Rue: Listen, what am I seeing on blogs left right

Me: South East, I am seeing it too

Baba Rue:Β Can I know whats going on

Me: MC tricky is a comedian, and an actor, Rue is a model and an actress, the two are best of friends and are just building their brands, and exercising their talent, there is nothing between them apart from business, unajua brand ndio inaingia saa hii nani 🀣🀣 don’t worry, the house is under my control otherwise, you would have seen me collect my school fee πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ

Baba Rue:Β Okey thanks and good day.

Me:Β bye bye dad, thanks a lot for checking on us, nirushie kakitu kwa mpesa ya macho πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ

Hujaona ile niliona na mnaija bado, she is a dancer again, ama hauna video , nitumie number yako ya WhatsApp, lakini nudes situmi ngooooo, usiexpect πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ

Nikutumie 🀣🀣🀣🀣

I LOVE MY BABY DADDIES ALL OF THEM

CALL POLICE TO COME CATCH ME

Aliandika na kuwashauri wawili hao waendelee na kazi yao kwa maana babake Rue ameelewa na pia yeye amekubali.

View Comments