- vanessa bryant
- patanisho kulia

Mkewe Kobe Bryant, bi Vanessa, aliwasilisha kesi siku ya Jumatatu dhidi ya kampuni iliyomiliki helikopta iliyoanguka mwezi uliopita na kuua mumewe na mwanawe wa kike mwenye umri wa miaka 13, Gianna pamoja na watu wengine saba.

Kesi hyo iliwasilishwa muda mfupi kabla ya ibada ya ukumbusho, iliyofanyika katika Kituo cha Staples.

Katika ibada hiyo Vanessa alitoa rambi rambi zake kwa marehemu mumewe na dadake.

The 72-page lawsuit filed in Los Angeles Superior Court alleges that Island Express Helicopters put the helicopter in the air when conditions were not safe for flying.

Kesi hiyo ya kurasa 72 iliyowasilishwa katika Mahakama Kuu ya Los Angeles inadai kwamba kampuni ya Island Helicopters waliruhusu helikopta hiyo kuruka wakti hali hazikuwa salama kwa kuruka.

Kesi hiyo kulingana na TMZ inasema ndege hiyo iliyoanguka Januari 26, ilishindwa kutathmini data ya hali ya hewa kabla ya kuruka.

The fog in Los Angeles was so dense on the morning the helicopter crashed into a hillside in Calabasas despite others being grounded over weather conditions.

Ukungu huko Los Angeles ulikuwa mnene sana asubuhi ambayo helikopta ilianguka kwenye mlima huko Calabasas licha ya zingine kuzuiwa kuruka kwa sababu za hali ya hewa.

Katika kesi hiyo, Bryant, anadai kuwa rubani hakusitisha safari hiyo licha ya kutathmini hali ya mawingu.

Haijulikani ni kiasi gani cha fedha ambacho Vanessa anatafuta. Bodi ya Usalama wa Usafiri wa Kitaifa inachunguza ajali hiyo.