Kiongozi wa genge moja la ujambazi ametiwa  eneo la Nairobi CBD, amelitiwa mbaroni jumanne katika eneo la Kamkunji.

Godfret Sangare alikamatwa baada ya kuwekewa mtego na maafisa wa DCI katika mahakama ya Milimani.

"Kufuatia operesheni ya kipekee iliyo fanywa na maafisa wa polisi na wachunguzi wa DCI,waliokatika eneo la Kamkunji wameweza kumkamata  kiongozi wao." Kinoti Alisema.

Kupitia mtandao wa kijamii wa twitter Jumatano Kinoti alisema kuwa mshukiwa huyo alitambulika na watu kadhaa kwa njia tofauti.

" Atafikishwa mbele ya mahakama hii leo na kushtakiwa kwa wizi wa vurugu." Kinoti alisema.

Mabwenyenye na wandani wa Uhuru kumfurusha Ruto Mt. Kenya

"Following an Intelligence led operation, a team of detectives and

officers based at Kamukunji have managed to arrest the leader of a notorious gang that has been operating within Nairobi Central Businesses District.The officers laid their trap within Milimani Law courts where they arrested Godfrey Sangare Ambani who was later positively identified by several victims in an identification parade. He will be arraigned today and charged with robbery with violence." Ujumbe ulisoma.

View Comments