28 February 2020 1 Min Read
Moto sana! Angalia hii mpya kutoka kwa Nandy
by Yusuf Juma Habari
Ameangiusha kibao kipya msanii wa Tanzania Nandy kwa jina Na Nusu ambacho kimeanza kuvuruga kwa ajili ya mpigo wake mzuri wa biti na sauti yake tamu . 'The African Princess' hajafelisha kwani nyimbo zake hadi kufikia sasa zimweza kuwavutia wengi katika kanda hii ya afrika mashariki na kuuweka muziki wake katika ramani .Bila shaka Nandy Ni miongoni mwa wasanii ambao wanauweka muziki wa afrika mashariki katika hadhi ya juu na kibao chake hiki Nan Nusu hakijafadhaisha .Skiza hapa