- Ringtone
- pjimage (4)

Msaani wa Gospel Ringtone amemtumia mwenzake Bahati ujumbe mkali kupitia facebook akimshtumu kwa kuwa na kiburi na dharua . Ringtone kupitia ujumbe huo anasema Bahati hajakuwa  kielelezo kizuri kwa jamii na hasa kwa wasanii wa muziki wa injili nchini kutoka na majibizano yake makali na  wenzake pamoja na wafuasi wake katika mitandao ya kijamii .

Bahati alimpeleka kortini  Msanii Peter  Blessing  baada ya wawili hao kutofautiana na hivi maajuzi amerushiana matusi na  msanii G money .

 

View Comments