- winnie nwagi
- Juliana.Kanyomozi1
- spice diana
- desire
- Irene Ntale
- fille
- Kemi sera
- uganda (1)
Mara nyingi, tunapoangazia wanawake warembo, waliobobea na wanaong'aa katika upande huu wa Afrika Mashariki, sisi huangazia sana wanawake kutoka humu nchini na sana sana Tanzania.
Hata hivyo, chenye wengi wamesahau ni kuwa Uganda kwa Museveni, sanaa ya muziki imepamba moto huku wanawake wakiwa katika mstari wa mbele kupeperusha bendera hiyo.
Leo tunaangazia warembo nane ambao wamebarikiwa na sauti na talanta ya usanii,
1.Spice Diana