- Diamond 1
- Diamond 2

Wimbo mpya wa msanii wa Bongo Diamond Platnumz Jeje  ulifika na kishindo na  Donna kumuacha  baada ya video ya wimbo huo kutolewa .

Kuna uvumi kwamba  Tanasha alitengana  na msanii huyo  wa Tanzania  baada ya  Simba kwenda ulaya na  mwanadada aliyeshirikishwa katika wimbo wa jeje kwa jina malaika . Tangia wakati huo Tanasha amekuwa akiandika  posti za kumshambulia Diamond katika mitandao ya kijamii . Malaika hata hivyo amekanusha kumpokonya Tansha penzi la Diamond  na kuandika ;

 “Muhimu ni uhai nashukuru ninao sijakufa…ila kuhusu mapenzi sitaki shobo nimeyakuta…”

Katika posti nyingine aliandika ;

Shakespeare was right, « Love looks not with the eyes but with the mind, and therefore is winged Cupid painted blind.

Tanasha alitoka Tanzania baada ya uvumi kuzuka kwamba wawili hao wametengana  na sasa anaangazia muda wake kuimarisha taaluma yake ya muziki .

View Comments