- vivianne na mpenzi sam west
- 60243565_171414817203189_4518741538889462380_n

Sam west atakumbukwa sana katika ukuaji wa msanii Vvianne ambaye ameilea talanta yake kutoka kitambo.

.Sam alisema vile kuwa na mpenzi wake kila wakati kuna kuwa na alikuwa na haya ya kusema

"Sina shida na mashabiki wanaume wa Vivianne, kitu ambacho kimefanya tusiwe na vurugu katika uhusiano wetu ni kuelewana na kujua kuwa hiyo ndio kazi yake na lazima afanye kazi na wanaume ili afaulu." Alieleza Sam.

Wapenzi hao walipatana mwaka wa 2016, na wamebbarikiwa na watoto wawili, kila mmoja akiwa na mtoto mmoja kutoka kwa uhusiano wa awali.

"Tulipatana mwaka wa 2016, nilipomuona niliamua kumfikia, nilikuwa maneja wake wa nyimbo zake, alianza kunohoji na akaamua kuwa mimi ndiye mr Right wake

Tangu siku hiyo tumetimiza mambo mengi sana tukiwa pamoja." Alisema.

View Comments