- SAVARA 1
- SAVARA 2
- SAVARA 3
- SAVARA 4
- SAVARA 5
- SAVARA 6
- SAVARA 7

Iwapo  wewe ni mwanadada na ulikuwa ukiwanyemelea mojawapo ya wanachama wa kundi la sauti sol basi ole wako. Baada ya Bien kufunga ndoa wiki moja iliyopita sasa  Savara amechukuliwa !

Mwaka wa 2018  Fancy Fingers  ndiye aliyeanza kwa kufunga ndoa na  mpenziwe  Lady Mandy  na baada ya  Chiki Kuruka kumchukua Bien  imewadia zamu ya Savara .Savara  amekuwa akituma taswira zinazokinzana  kuhusu uhusiano wake na Yvonne Endo na hata ilidhaniwa kwamba huneda uhusiano huo ulikatizwa zamani .Lakini picha zinazotambaa mtandaoni  zinawoanyesha wote wawili  wakionekana kutekana nyoyo

Picha hiyo iliyowekwa na  Savara ni ithibati kwamba uhusiano wao bado upo na thabiti tena .

Picha hiyo ilizua ndimi kweli na maoni yakaanza kufuata

Bien: Heri waliompokea Bwana Yesu, Wana uzima

Chris Kirwa: Aha #SisiKamaInlaws Twa ! I mean Twawapenda wakati huu wa wa kukaa nyumbani

Ephy Saint: Those babies shall be cute

Fancy Fingers: Kesi utajibu baadaye

Koikai: We Savara shindeni kwa kitanda ya 4 by 6… Kidogo kidogo ndio hiyo corona 6inch deep kwa vein

Some guy went ahead to break the hearts of the women who fantasize about Savara saying,

I keep telling y’all to stop fantasizing na mabwana za wenyewe hamsikii..sasa ona mmevunjwa roho tena. Si mtutake tu sisi wenye tunawataka.

View Comments