26 March 2020 1 Min Read
Coronavirus: Unayofaa kujua leo kuhusu zimwi la corona Kenya na Afrika kwa kifupi
by Yusuf Juma Habari
- Kinachofanyika kenya (5)
- Kinachofanyika- afrika
Kenya leo, tarehe 26 machi imefikisha visa 31 vya virusi vya Corona. Watu watatu zaidi wamethibitishwa kuwa na ugonjwa huo huku marufuku ya kutotoka nje kuanzia saa moja usiku hadi saa kumi na moja alfajiri ikitarajiwa kutekelezwa kuanzia Ijumaa tarehe 27. Soma yote katika picha moja.
Kwingineko bara la afrika leo limesajili visa vipya 83 vya corona virus. Fahamu yote kuhusu Coronavirus barani Afrika katika picha hii ;
Mhariri: Davis Ojiambo