- lonya 1
- lonya 2
- Lonya 3
- Lonya 4
- Lonya 4

Mpenzi wa gavana wa West Pokot  John  Lonyangapuo amevuja jumbe zao za mapenzi mtandaoni .

Radio Jambo  imepata jumbe   na picha hizo  za mawasiliano kati ya  Lonya na kipenzi chake .

Katika mawasiliano hayo ya whatsapp  ,mpenzi huyo anaahidi kumzalia mheshimiwa mtoto wa kiume . Gavana ambaye amejawa sana na furaha anajibu ;

 “WONDERFUL.”

Kisha mheshimiwa anazidi kwa kuandika ujumbe huu wa mapenzi

 “I LOVE YOU CHEMANENYU.”

Anafuatisha ujumbe huo kwa picha yake ya selfie  na kisha kupiga busu ya hewa .

Katika picha hiyo ya selfie ,Lonya amevalia vesti  ya rangi nyeupe huku akiupisha miomo yake kwa busu .

Mazungumzo yanatamatika wakati mwanamke huyo anaposema kwamba ;

“mzee is around”.

Kisha anaahidi kusema naye zaidi keshoye . Gavana Lonyangapuo hajazungumzia mlipuko wa  jumbe hizo .

Zicheki hapa

View Comments