- matiangi
- mashalaa
- wooo
- balaa kena
- crossing
- chaos
- tutu
- tutu
- carfew
- carfew1
- bungo
- wakenya
- pjimage (20) (1)
- balaa kena

NA NICKSON TOSI

Baada ya rais Kenyatta kutoa tangazo la kupiga marufu ya kutotembea  kuanzia saa 7 usiku hadi 5 asubuhi kuanza rasmi hiyo jana ,Wakenya wengi walijipata pabaya baada ya masaa hayo kuwapata kabla ya kufika katika boma zao na hivyo kukumbana na maafisa wa polisi waliowajaraza mithili ya burukenge.

Hapa tumekuandalia tu baadhi ya picha ambazo zinaelezea matukio ya jinsi maafisa wa polisi walivyowaadhibu wakenya kinyama ,na hata wengine kupata majeraha mabaya.

Tazama picha hizi.

Hiyo ndiyo taswira kamili ambayo wakenya walipitia baada ya kuchelewa kufika kwa nyumba.

View Comments