logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Tukumbuke wakati huu wa wingu jeusi,' Willy Paul amwandikia Uhuru barua

Tukumbuke wakati huu wa wingu jeusi,' Willy Paul amwandikia Uhuru barua

image
na

Burudani02 October 2020 - 06:01
Msanii wa  humu nchini na ambaye anafahamika sana tangu aanze uimbaji wake Willy Paul kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram amepost picha ya rais Uhuru, kisha kumwandikia ujumbe akimsihi awakumbuke wakati huu kama wasanii wa nchi ya Kenya.

Kulingana na Willy serikali haijafanya jambo lolote kuhusu wasanii wa humu nchini huu hapa baadhi ya ujumbe ambao aliandika.

"Dear Mr president, my president. First and foremost I’d like to congratulate you for the good work that you’ve done so far n ur still doing. Especially in this time of ." Aliandika.

Alizidi na kusema kuwa sekta ya muziki imeathiriwa sana na janga la corona ilhali hamna mtu yeyote ambaye anashughulika kwa ajili yao.

"My president I have an issue. The entertainment scene has been hit badly and sadly no one seems to care about whatever is happening to us... entertainers from other countries e.g musicians, actors , producers, directors and comedians are getting help from their governments.. and here no one is even saying a word." Aliandika.

Hakutia kikomo mbali aliendelea,

"The other day you had a press conference and all of us expected to hear our president’s thought on the entertainment scene. Unfortunately you did not mention a thing. Mr president, most of us depend on shows, gigs n e.t.c as we all know that our board of music has been having issues with the artists. They’ve been stealing from us.. from ringback tones to every other thing.. most of us depend on music for everything Mr President. We have families that look upto us.. right now we’re all home, not making any money.... ..." Alisema.

Akimalizia Alisema,

"Dear Mr President, I’m just speaking from a musical perspective, if an established musician can feel the pinch like me, what about the uprising who only makes 5000 shillings per gig and they still have to pay rent and feed their families? What about the common who’s only hope is on mjengo, juakali, watchmen, mama mboga???

Mr President, I know ur a fan of Kenyan music, Kenyan content , Kenyans and you love your people.PLEASE REMEMBER US IN THIS DARK MOMENT." Aliandika Paul.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved