02 April 2020 1 Min Read
Watu 2 zaidi waaga dunia kwa ajili ya COVID 19 matukio yote ya leo kuhusu Coronavirus kwa ufupi
by Yusuf Juma Habari
- feature
- kagwe
- Watu 2 zaidi wameaga dunia kwa ajili ya virusi vya Corona na kufikisha 3 idadi ya walioga dunia hadi kufikia sasa
- Idadi ya watu walio na virusi vya Corona nchini sasa ni 110 baada ya watu 29 zaidi kupatikana na virusi hivyo .
- Naibu Gavana wa Kilifi Gideon Saburi ni miongoni mwa waliopona virusi vya Corona
- Watu 4 wamepona virusi vya Corona nchini hadi kufikia sasa
- Serikali yawashauri wakenya hasa kutoka maeneo ya Miji kutosafiri kwenda maeneo ya mashambani
- Waziri wa Afya Mutahi Kagwe awashauri Wakenya kujitayarisha kwa ongezeko la idadi ya walioambukizwa virusi vya Corona
- Madereva wa Tuk tuk,Matatu ,abiria washauriwa kuvalia Barakoa(Face masks)
Waziri wa Afya Mutahi Kagwe