vivianne

Msanii Vivianne ambaye ni mke wa Sam kupitia mtandao wake wa kijamii amewakashifu watu wengi kwa kutowajua wapenzi wao licha ya wao kuwa katika uhusiano wa kimapenzi.

Alisema kuwa wengi hawajaweza kupalilia uhusiano wao ndio maana mahusiano mengi yanavunjika haraka humu nchini ikiwalazimu wengi kujitia kitanzi.

Imekuwa muda sasa wananchi wengi wanafanyia kazi nyumbani, wengi wamependezwa kufanyia kazi nyumbani ilhali wengine hawana furaha kamwe.

Sababu ni ipi huu hapa ushauri wa msanii Vivianne,

"DURING QUARANTINE THERE ARE PEOPLE WHO HAVE FOUND THEMSELVES IN   RELATIONSHIPS THEY HAVEN’T BEEN WATERING.

IF YOU DO NOT WATER A RELATIONSHIP IT WILL DIE OFF.

TAKE TIME WITH YOUR LOVED ONES, YOUR SPOUSE YOUR KIDS AND EVERYONE ELSE." Alisema Vivianne.

Hakukimya bali alizidi kuzungumza,

"TAKE ADVANTAGE OF QUARANTINE AND KNOW YOURSELF AND YOUR PARTNER MORE.

YOU CAN TRY COOKING, SKIPPING, PLAYING AMONG OTHER THINGS. JUST MAKE SURE WATU WASIGOMBANE KWA NYUMBA." Alisema.

Ukishughulikia uhusiano wako na mpenzi wako kwa hakika hataenda kando ya ndoa wala hutasikia vigumu sana kuwa naye wakati wote.

Sam alimsifu mkewe Vivianne na kusema kuwa anapika sana kuliko vile alikuwa anapika hapo awali

"VIVIANNE IS COOKING MORE THAN SHE USED TO, WHICH IS A GOOD THING.

I HAVE ALSO LEARNED HOW TO MAKE PERFECT PANCAKES AND SAUTEED POTATOES." Alizungumza Sam.

Je nini unachomfanyia mpenzi wako wakati huu wa karantini?

View Comments