- zari 1
- zari 2
- zari 3
- zari 4

Shindano la utawezana sasa limeingia Uganda baada ya mpenzi wa zamani wa Diamond Platnumz Zari Hassan pia kujirekodi akijaribu kuimba wimbo huo ingawaje hakuwa na ujasiri wa kudensi kama malkia wa tiktok Azziad Nasenya

Wimbo huo wa Mejja na Femi One ulitamba baada ya Azziad kuucheza katika challenge spesheli ambayo iliwateka wengi katika tiktok

Baada ya video ya Azziad, watu wengi walijaribu kufanya kama yeye bila mafanikio. Femi na Mejja wanafaa kumshukuru Azziad kwa umaarufu ambao ameuletea wimbo wao katika kipindi kifupi baada ya kuifanya video yake

Zari ambaye kwa sasa anaishi Afrika kusini ameweka mtandaoni picha yake akionekana kuburudika na kibao hicho hatua ambayo ilimpendeza Femi One aliyeamua pia kuishare video hiyo katika instagram

Femi aliandoka ;

 “@zarithebosslady jamming to Utawezana. Keep watching the video,”

https://www.instagram.com/p/B_NaEoUFfSS/

Zari alijibu akisema ameupenda wimbo huo ..akiandika ;

 “Gotta love this track,”

zarithebosslady Gotta love this track

femi_one @zarithebosslady Thank you Zari

brendamomo_ @zarithebosslady manze hii umeweza mbaya jo

wawira_ke @zarithebosslady  kukupenda nayo

pedi_wa_boondocks @zarithebosslady @diamondplatnumz akiwezanaaaaaa

missidependent_boss_chic @zarithebosslady why I love zari

dvan_dennis @zarithebosslady Amka ata unengue viungo zari mammi kukaa Haiwes na utawezana.

View Comments