Msanii Size 8 na mumewe DJ Mo wamekuwa katika  ndoa miaka kadha sasa  , na kubarikiwa na watoto wawili Ladasha na Samuel.Awali wakiwa karantini mumewe Size 8 alimuonya na kumwambia    kwamba hakutaka watoto wengine kwa sababu wawili hao walimtosha .

Size 8 alikuwa ametatizika akiwa na uja uzito wake wa mwisho na kulazimika kulazwa hospitalini kwa muda

Size 8   alimuleza dadake Mary Munyali kwamba msimu wa baridi watu wengi hujipata na uja uzito kwa sababu ya kujipata wakiwa wawili wawili ili kupiga vita baridi . Mary alikuwa amesema ;

"TUNATAKA BABY NUMBER TWO AMA NI BABY NUMBER THREE?. RIGHT NOW IS WHEN PEOPLE ARE GETTING BABIES."Mary Aliandika.

Size 8 akamjibu  hivi

 "NAEZA TAKA MTOTO MWINGINE BUT SI SAHI.UNAKUMBUKA ILE DRAMA NILIPITIA?"

Alipoulizw aiwapo anapanga uzazi ,alisema ;

"YES I AM, YOU REMEMBER AFTER I LEFT HOSPITAL I WAS TOLD TO GO BACK AND SEE THE DOCTOR DUE TO MY BLOOD PRESSURE.

SO I SORTED THAT STORY." Alijibu.

Wiki kadhaa zilizopita DJ Mo alimuonya Size 8 dhidi yya kupata mtoto mwingine katika video aliyoposti mitandaoni  na kuandika ;

"MAISHA NI KUJIPANGA 😂😂😂😂 WEH …

ANYWAY PLEASE @SIZE8REBORN DON’T TELL ME TO ADD ANOTHER ONE HAWA WAMETOSHA 😂 … NAJUA MTOTO ANAKUJA NA SAHANI ULE BUT FAMILY PLANNING IS VERY IMPORTANT …

WANAUME WANAELEWA HAPA 👍 #TUJULISHANE."

Imeharirirwa na Yusuf Juma

View Comments