Lillian-Muli-new-look-696x418

Lilian Muli amejitokeza kuwapa mawaidha na ushauri wanawake ambao wamekuwa katika uhusiano wa kimapenzi wenye dhuluma kwa muda si uhusiano tu pekee hata anawapa wenye wako kwa ndoa na wanapitia hali hiyo.

Kupitia mitandao ya kijamii Lilian aliandika;

"AFTER GOING THROUGH THE SAME PAIN TWICE IN MY LIFE I REALIZED I WAS ATTRACTING THE SAME CHARACTER IN MY RELATIONSHIPS BECAUSE I WAS ATTRACTED TO A CERTAIN TYPE. YOU MUST PUT AN END TO ATTRACTING CERTIAIN TYPE. TAKE TIME TO HEAL AND THEN REALLY TAKE TIME BEFORE YOU OPEN TO SOMEONE ELSE"

Aliendelea kunakili ushauri wake

"DO NOT SHARE TOO MANY INTIMATE DETAILS ABOUT WHAT WENT WRONG PREVIOUSLY IN YOUR LIFE IN TERMS OF ABUSE UNLESS YOU ARE 100 PERCENT SURE ABOUT THE PERSON YOU ARE OPENING UP TO. CHANCES ARE THEY MIGHT USE YOUR VULNERABILITIES AGAINST YOU AND REALLY DO YOU WRONG BASED ON WHAT THEY KNOW ABOUT YOUR GREATEST FEARS."Aliandika Lilian Muli.

Je umepitia uhusiano kama huu na ushauri wako kwa wengine ambao wanapitia hali kama hii ni upi?

View Comments