unnamed (6)

Mtangazaji wa Massawe Japanni na mumewe Tom Japanni wanaadhimisha miaka 13 ya ndoa tangu waoane kwa kufunga fungate.

Wanandoa hao wamekuwa kwa tasnia ya uanabari kwa zaidi ya miaka 1o.

Akizungumza na mtandao mmoja wa humu nchini, Massawe alisema ndoa ni kitu cha kujitolea na watu lazima waweze kutumia muda wao kila wakati ili kufanikisha malengo yao kwa ndoa yao.

"It is resilience. In it, you discover your elasticity and capacity to do more than you ever gave yourself credit for," she said."It is a sacrifice because you learn to make concessions therein. It is a vulnerability, a high-stakes gamble, where your heart is the prize or the price."alisema Massawe.

Aliongeza kuwa ndoa si tofauti na maisha.

"Different seasons, some joyous, some sad, some unexpected, some planned for. And as it is for life, marriage also calls for giving it your all and making sure you enjoy the ride," aliongezea

Mama huyo wa watoto watatu wakati wa kuadhimisha miaka hiyo 13 ya ndoa aliandika hivi.

"May the grace of God for a blessed family continue to shine on our marriage. And may wisdom be our constant companion! Happy 13th Anniversary #17together #mpakamilele." 

Kuongeza mapenzi zaidi kwa ndoa yao, Japanni alimnunulia Massawe pete nyingine.

"When he knows what to get you… I’m here blushing😊😊😊 and it's fascinating him….More rocks to the years lived…A journey it has been…😘😘@tjapanni #mpakamilele♥,"aliandika Massawe baada ya kupokea pete hiyo.

View Comments