EYiSwZ3XgAAdOh1

Kikosa cha wanajeshi wa humu nchini KDF wametumwa kwenye mipaka ya Kenya na Ethiopia haswa ile ya Sessi na Kore eneo la  Moyale ili kuzuia watu kuingia nchini kupitia vichochoro baada ya serikali kudai kuwa maambukizi mengi yameanza kutokea kwenye mipaka ya taifa.

Tazama namma walivyofunga maeneo hayo.,

Rais Kenyatta alitangaza kufungwa kwa mipaka ya Kenya na mataifa jirani kutokana na idadi kubwa ya maambukizi ambayo yalikuwa yameanza kusajiliwa katika kaunti zinazopakana na mataifa hayo.

Shughuli za watu kuingia na kutoka katika mataifa jifrani pia zilisitishwa na serikali.

View Comments