cqrRJES7

Waziri wa usalama katika taifa la Tanzania  George Boniface Taguluvala Simbachawene amemtaka inspekta jenerali wa polisi katika taifa hilo kuhakikmisha kuwa polisi aliyenukuliwa mitandaoni kutokana na kitambbi chake kikubwa kupewa majukumu mengine Mengine.

Afisa huyo wa trafiki alitamalaki katika mitandao ya kijamii baada ya wananchi wa taifa hilo kusambaza picha zake kutokana na ukubwa wa kitambi chake.

Taguluvala alikuwa anasema hayo akiwa katika mkutano wa kuangazia hali ya usalama bara barani mjini Dodoma ambao ulikuwa unaangazia kujadili sheria mpya za bara barani.

“There are officers working in our traffic department who need to be moved as they no longer qualify, officers in Gairo are pot-bellied, how can you have a pot-belly and you are a traffic officer, I direct the IGP to re-assign these officers to other duties,” alisema Taguluvala.

Wakati uo huo aliwashutuma maafisa wa trafiki ambao wamekuwa wakichukua hongo kutoka kwa wahudumu swa magari akisema sheria haitamsaza yeyote,.

Mwaka 2108 ,taifa la Pakistani liliingikia katika historia baada ya mkuu wa maafisa wa polis Habibur Rehman kuwataka polisi wote ambao walikuwa na vitambi vikubwa kuanza kuratibu vyaklula ambavyo walikuwa wanakula.

Wale ambao walikuwa wamekataa wito huo ,walikuwa wanapewa vitisho vya kufutwa kazi.

“Overweight officers are ineffective and “cannot chase bandits, robbers and other criminals properly”,alisema Rehman kuhusiana na polisi walio na uzani mkubwa.

Yamkini asilimia 50 ya maafisa wa usalama Pakistani wanasemekana kuwa na uzani kuliko unaohitajika na hulazimika kupunguza uzani huo chini ya miezi miwili ama wapoteze kazi.

View Comments