fgthyju-696x418

Ni wazi kuwa mkurupuko wa virusi vya corona nchini umechangia pakubwa kwa familia nyingi kutengana kutokana na hatua ya kufungwa baadhi ya kuanti ambapo kumefanya baadhi ya watu kukosa kujumuika na familia zao kwa muda.

Kwa mwanamke mmoja ambaye sasa mumewe amefungiwa katika kaunti ya Nairobi amejikuta pabaya kwani hamu ya kumuona mpenziwe imeambulia patupu swala ambalo anasema linamkosesha usingizi na hata wakati murwa wa kushiriki ngono.

Kulingana na mwanamke huyo, kisima chake cha asali kimechemka na kinahitaji mtu wa kumlipua lungula ya kutosha japo hana wa kumfanyia hivo.

Mume wangu alifungiwa Nairobi baada ya serikali kutaka watu wasitoke eneo hilo kutokana na idadi kubwa ya virusi vya corona. Jambo hilo limeninyima hamu ya kushiriki ngono kama mwanamke mwingine. Wakati mwingine hata kisima changu cha asali huwa kinachemka kumaanisha kuwa kinahitaji mtu wa kukishughulikia lakini hayupo, swala hilo linanipa hofu kweli, amesimulia mwanamke huyo.

Mwanamke huyo sasa anasema kutokana na penzi lake kuu alilo nalo kwa mumewe, haliwezi kumfanya kushiriki ngono na mwanamme mwingine japo ana hamu kuu.

Nampenda sana mume wangu, ndio nahitaji mtu wa kunilipua vilivyo lakini mapenzi yangu kwake siwezi kuyasaliti kwa mwanamume mwingine. Mwili wangu unahisi tu kuwa na mwanamume ambaye nampenda kwa dhati, alisimulia mwanamke huyo.

Amesema kulingana na wosia ambao mamake mzazi alimpatia, unamfanya kuwa na nguvu za kustahimili mawimbi ya kibaridi kinachomkumba usiku. Kulingana na mwanamke huyo, babake alikuwa anagawia kwa muda ndiposa kufanya ziara ya kurejelea nyumbani japo mamake alisalia kuwa mwaminifu kwake.

Mamangu ameishi akiniambia kuwa ukishiriki ngono na mwanamume ambaye si wako huwezi ukafurahia utamu wake, amenishauri niwe mwanamke jasiri na ambaye atavumilia kila mtihani wa maisha. Amesimulia mwanamke huyo