Sasa unataka tuje tukutoe Dry spell?, Wakenya wajibu madai ya Size 8
Saa chache tu baada ya msanii wa nyimbo za Injili Size 8 kudai kuwa ni siku nyingi tangu bwanake DJ Mo kushughulikia matakwa yake ya kindoa, sasa wakenya wameamua kutoa usemi wao kuhusiana na matamshi hayo.
"If he worked on me as hard as he does while hustling, we would not have issues in this marriage," alilalamika Size 8 kutokana na hatua ya Mo kukosa kulipua lungula.
Aidha mumewe Mo alijitetea akisema baadhi ya mavazi ambayo mkewe huwa anavalia humkosesha ladha ya kushiriki tendo hilo.
Baada ya kuona semi hizo za wanandoa hao maarufu nchini, wakenya wengi waliotoa maoni yao kama ifuatavyo;
Hannah ;Size 8 : buys ps 5,Size 8: I'll give dj mo this ps 5 if he lasts 2 minutes
Hannah; Size 8 alisema DJ Mo is poor in Bed Kwa Camera...that will never change Read more
Wakenya hao sasa wanasema ni vyema wanandoa hao kuweka maswala yao kibinafsi kando na umma.