Eao3hJSXYAULrYW.jfif

Azziad Nasenya mwanamke ambaye amekuwa akitesa sana katika mitandao ya kijamii nchini aliadhimisha miaka 20 ya kuzaliwa,jambo ambalo watu wengi walionekana kutofautiana nalo pakubwa.

The Tik Tok Queen kama anavyofahamika na wengi ,alitangaza ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter .

Wengi wa wafuasi wake ,walikaidi kuwa Azziad hawezi kuwa miaka 20 baada ya kuona ujumbe wake.

"Goodbye to my teenage years. Stepping into the future with joy and confidence. Blessed and favoured. #Azziad20 #HBDAzziad (sic),"aliandika Azziad .

Baadhi yao walionelea kuwa kichuna huyo umri wake si miaka 20 japo wengine wakaonelea huo ni umri wake sahihi.

Baadhi ya watu waliotoa maoni ni kama ifuatavyo.

Lion muigai @MohMuigai #Azziad20: My grand paa. Be careful when you go to Nairobi. If she says she is 19 just add 10 years to her age. Your mother used to tell men she was 15 when she was actually 25 years! 

KOT OCS @WaruiJohn2 Azziad Nasenya says she is 20 years! .... It might be true but kwa ground anakaa hivi... Anyway hainihusu

QueenDebby @SweetDebby8 Azziad's age mentors. Azziad turned 30 years today. She should stop lying about her age! #Azziad20 

Real Nairobian @RealNairobian Lakini ata beside everything mnajua, this girl is talented #Azziad20 just watch her videos!