- Makueni 1
- makueni 2
- Makueni 3

Polisi huko Makueni wanamsaka mwanamume mwenye umri wa miaka 35 ambaye  alimuua babake kwa kutumia mshale na kisha kuuteketeza mwili wake  katika kijiji cha Masalani.

Mshukiwa aliyetambuliwa kama Nicholas Katua  pia alimjeruhi kakake wa kambo  katika mzozo huo wa ardhi kabla ya kuiteketeza nyumba yake.

Baadaye mshukiwa alitoroka  eneo la  tukio  na bado hajakamatwa.

View Comments