23 June 2020 1 Min Read
Hakuna Twa Twa! Watu waliowekwa karantini Busia washauriwa
by nickson tosi Habari
Watu waliozuiliwa kwenye karantini kaunti ya Busia wameshauriwa kusahau kuhusiana na maswala ya ngono ,miraa na pombe.
Mkuu wa afya kaunti hiyo Dr David Mukabi amewambia wagonjwa hao aliowekwa katika kituo cha Alupe na vituo vingine
Mukabi amesema kuwa watu waliowekwa katika kituo cha Alube na ATC wameanza tabia za kuwanajisi baadhi ya wahudumu wa afya wanaowashughulikia katika vituo hivyo.
“This is a treatment centre (hospital) where all patients must comply with laid down rules and laws, Dr Mukabi.
Amesema kuwa serikali ya kaunti hiyo pamoja na hospitali hawatakubali kutekeleza matakwa baadhi ya matakwa yao jinsi wanavyoshinikiza.