PgQk9kpTURBXy9hOTM1OGMzYTFkZjMzODRkYjNlZjBjMDliZjAxZGFmOC5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB

Wakili Kamotho Waiganjo Jumatano jioni alijibu ukosoaji kwa kumwakilisha anne Waiguru katika kikao cha kumfurusha afisini na ambaye ni mke wake pia wengi walisema kuwa ulikuwa ni mvuto wa migogoro.

Waiganjo alisema kuwa kumwakilisha waiguru katika kikao hicho hakumwakilisha kwa maana alikuwa amelipwa bali alimwakilisha bila malipo yoyote ina maana anafanya kazi hiyo bila kulipwa ni bure tu.

Alionekana mwenye dharau alipokuwa akijibu madai hayo ambayo yalidaiwa na watumiaji mitandao huku wakisema kuwa wakili ana uhusiano na mteja wake.

Waiganjo naye alikuwa na haya ya kusema kwenye mitandao ya kijamii ya facebook,

"Pro bono.....But seriously???? As in seriously???"

Miongoni mwa waliokosoa uwakilishaji wa Waiganjo ni wakili Miguna Miguna huku akidai kuwa mpango wa Waiganjo wa kumwakilisha Waiguru amefanya kwa ajili atapokea malipo yake kutoka kwa serikali ya kaunti ya Kirinyaga.

"Ms Waiguru has filed her responses with the Senate committee through her legal team led by Kamotho Waiganjo. So, long-suffering Kenyans will pay Kamotho Waiganjo, It is called a CONFLICT OF INTEREST. It is unethical, violates Chapter 6 of the Constitution of Kenya, 2010 and is illegal as it unlawfully allows those occupying public office to PROFIT from those positions. Over to you Law Society of Kenya." Miguna Alisema.

Robi Chacha hakuwachwa nyuma bali alikuwa na haya ya kusema,

"Kamotho Waiganjo representing Waiguru shall one day be used as a case study on Conflict of Interest. Wait for it!"
View Comments