105975459_637984933459242_1712755905434640684_n

Msanii Akothee kwa mara ya kwanza amefichua kuwa alikuwa amefunga pingu na mumewe wa kwanza na baba wa wasichana wake watatu.

Msanii huyo wa watoto watano alisema kuwa walifunga pingu za maisha yao katika kanisa la SDA.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii, Akothee aliposti picha ya siku hiyo na kisha kuandika maelezo mafupi,

"WEH MY FRIEND! I WAS LEGALLY MARRIED IN CHURCH πŸ˜­πŸ€¦πŸ˜‚πŸ˜­πŸ˜‚. DON’T SEE ME TWERKING NAKED ON SOCIAL MEDIA AND IMAGINE I JUST EMERGED FROM THE STREETS OF KOINANGE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. BUT DADDY, WHY OVERSIZED…AWENDO SDA CHURCH πŸ€¦πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ME AND MY FIRST LOVE. HAKI MIMI NARUDI , NANI ANAPINGA πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

JARED HAWA WATU HAWANIELEWI.Β HALAFU WHY WERE ALL THE THINGS SO LONG HAKI πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ

SEE #GAMESHOE 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 MIMI NARUDI KWA JARED WANGU NYINYI MTAJIPANGA, NA USINGO YENU."Aliandika Akothee.

Mashabiki wake nao walikuwa na haya ya kumwambia;

Faith Ofula If I look at the picture, I see a smile on each face.Umbali umetoka Akothee, hakika mungu Ni Ebenezer.

Maureen Bitach πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚umetoka far na unaenda mbalii

Liz Jason Waahβ€¦πŸ€£πŸ€£sahii your legs are taller than all your dresses..ukirudi kwa jared kuvaa hizi we promise to kol polisi..

Christyn Kamau I’ve fallen in love with your wedding shoes.

Β Dolvin Lovento Moraa 🀣🀣🀣🀣madam boss u’ve made my nyt. Wallai pesa sabuni ya roho na watu utoka mbali.

Prince Eric JahongaΒ Go back to Jared. I hope you still have marriage certificate.

Douglas Kyalo Mutevu Wacha Mungu aitwe Mungu.

Lmelda Sakina Nimeangalia hivyo viatu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nikachoka akili …these shoes.

Miriam M Kinyanjui You really make my days. Never a dull moment with you keeping us updated. You are simply lovable.

Liz Ann God has really been good to you πŸ™.

Naomi Kairuthi Aki na umevaa suti🀣🀣🀣🀣ndo maana upendi nguo mammie.