- zjCk9kqTURBXy8yM2RiNzY4ZTY4MjAzMzg2Zjc5YTgzMjAxMTg4YWQ5MC5qcGVnkZMFzQMUzQG8gaEwAQ
- mutahi ngunyi

Mchambuzi wa siasa Mutahi Ngunyi amenena na kusema kuwa wakili Miguna Miguna ni taka za mawazo ya kitaifa. Hii ni baada ya kutojitokeza katika mahojiano katika runinga ya K24 na mwanahabari Anne Kiguta.

Kulingana na Mutahi, Miguna alisema kuwa hatohudhuria mahojiano hayo kwa maana alidhani kuwa atakuwa kwenye mahojiano hayo.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya twitter, Ngunyi alisema kuwa Miguna ni 'Drama queen' na anapaswa kuwa mshauri wake kwa muda.

“Miguna Miguna is a PINK Soldier running a PAPER TIGER Revolution. He got SCARED of tonight because he CLAIMS I was part of it. The FELLOW is such a WASTE of NATIONAL IMAGINATION. An OVER-RATED drama QUEEN. I need to MENTOR him!” Mutahi Alisema.

Jumapili Miguna alikatiza na kutojitokeza katika mahojiano na Kiguta katika kipindi cha #Punchline, alipaswa kuwa katika mahojiano na  wakili Ndegwa Njiru ili kujadili mambo yaliokumba nchi.

Ndegwa aliwakilisha wawakilishi wadi wa kaunti ya Kirinyaga wakati wa ushawishi wa kuondolewa kwa gavana wa kirinyanga Anne Waiguru afisini.

"I'm not going to be party to Mutahi Ngunyi's schemes, I consider this a material change in what we had discussed and an attempt to cause unnecessary distractions and drama that would irreparably undermine what I stand for.

I'm cancelling my appearance on Punchline, To Anne Kiguta, K24, Mutahi Ngunyi and Uhuru Kenyatta. I'm not from Kirinyaga. I'm not a Kirinyaga MCA. I don't represent Anne Waiguru or the Kirinyaga MCAs. "I lead a revolutionary movement. We are struggling for Kenya's liberation and justice to all. We'll never waver." Alizungumza Miguna.

View Comments