'Babu Owino hatawahi jua wala kupata amani,'Wakenya wasema huku wakimuunga mkono DJ Evolve
Wakenya wengi kwenye mitandao ya kijamii wametaka haki kutendeka kwa ajili ya DJ Evolve baada ya kupigwa risasi januari mwaka huu na mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino.
Hii ni baada runinga ya NTV kufanya mahojiano naye bado akiwa kitandani miezi sita baada ya tukio hilo.
Anategemea watu kumfanyia kazi zote kwa maana hawezi songesha miguu yake vidole tu ndio zinasonga kidogo, Wakenya wengi hawajalaza damu tangu mahojiano hayo kasambaa kwenye mitandao ya kijamii wanataka haki kutendeka kwa Evolve.
Wengi wamemkashifu mbunge Babu huku wakisema kuwa hatawahi kuwa na amani maishani mwake kwa kitendo hicho.
Mama yake pia akiwa kwenye mahojiano alisema kuwa aliacha kazi ili kumlinda mwanawe, hizi hapa baadhi ya hisia za wakenya wengi kwenye mitandao ya kijamii;
@BlessedNjugush: How does this Babu sleep at night? Must be on something very heavy aki