Kufikia sasa watu 479,845  wameambukizwa virusi vya corona katika bara la Afrika huku watu wengine 230,016 wakiwa wamepona.

Aidha watu 11,400 wanaripotiwa kufariki hadi sasa kutokana na virusi hivyo.

Ulimwenguni kote, watu milioni 11.57 wameambukizwa virusi hivyo huku wengine milioni 6.53 wakiwa wamepona.

Watu wengine 537,045 wanaripotiwa kupoteza maisha yao.