Ripoti za upasuaji  za mwendazake mcheshi wa churchill show Joseph Musyoki Kivundu almaarufu Kasee zilionyesha kuwa alikunywa sumu.

Mwenyekiti wa baraza la Wacheshi Ken Waudo alifichua haya.

“THE FINAL RESULTS OF POSTMORTEM CONDUCTED ON THE LATE COMEDIAN INDICATE THAT HE HAD DRANK FROM A POISONED CHALICE

IT IS A MATTER UNDER POLICE INVESTIGATIONS SO WE WILL NOT COMMENT FURTHER ON IT.” Waudo Alisema.

Kasee alizikwa nyumbani kwao katka kijiji cha Itumunduni katika kaunti ya Machakos kwa ajili ya maagizo ya wizara ya afya kuhusiana na mazishi wengi hawakuhudhuria  mazishi hayo kwa ajili ya virusi vya corona.

Waudo alikuwa na haya ya kunena,

“FOR KASEE’S FAMILY PLANS ARE UNDERWAY TO SUPPORT THE WIDOW WITH BUSINESS VENTURES FROM THE EXCESS OF CONTRIBUTIONS MADE.”

View Comments