- Akothee
- Akothee
- Akothee

Msanii tajika Esther Akoth almaarufu Akothee alipigwa na butwaa baada ya kugundua kwamba kijana aliyeokota mitaani kama hajiwezi na kudai hana familia ana familia na mke.

Miezi michache baada ya kumkomboa mvulana mlemavu, Shadrack Mwita, mwanamuziki huyo amegundua kuwa alimdanganya kuwa ni yatima muda huo wote.

Pia alitambua kuwa Shadrack ana bibi ambaye yuko hai na mzima kisiha licha ya kudanganya kuwa alipoteza maisha yake katika ajali na kumuacha pekee yake.

"Siwezi endelea kuishi ikuluni ilhali familia yangu inateseka, niliahidi familia yangu kuwa naenda mjini Mombasa kutafuta riziki na endapo nitafanikiwa nitarudi kubadilisha maisha yao

Β Kwa hivyo namtaka mama aende akamjengee nyanya yangu nyumba wiki ijayo." Alizungumza.

Msanii huyo alisema kuwa alishtuka sana baada ya ufichuzi wa Shadrack.

"This was a shock to me, as before this ,he started becoming very negative, Moody and this was scary to me πŸ’ͺ I didn't know how to handle this , however when I met shadrack ,he told me he had no one πŸ™πŸΎ This was 3 days after we left hospital during lockdown/ carfew πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ On the 12.6.2020 πŸ’ͺI was not born to cause pain ,I was born to provide solutions. BRAVO SHADRACK πŸ™πŸΎwhat would you do, if you were in my shoes ❀❀."
View Comments