Mwangangi

Watu 667 wamepatikana na virusi vya corona  katika saa 24 zilizopita na kufikisha jumla ya watu16,268, baada ya sampuli  5,075 kupimwa.

Katibu wa utawala wa wizara ya Afya Mercy Mwangangi amesema  kwamba watu watatu ,11,wameaga dunia na kufikisha 274 jumla ya waliofariki kutokana na virusi hivyo. Watu 311, wamepona  na kufikisha jumla ya waliopona ugonjwa huo kuwa 7446.

Kaunti ya Nairobi imezidi kuongoza katika maambukizi hayo.

Kulingana na Mwangangi 393 ni wanawake na 274 ni wanaume wake huku walioambukiza kwa miaka mwaka wa chini ni mtoto wa mwezi moja na mwaka wa juu ana miaka 67.

View Comments