‘ Nilitumia mwanamume fare akiwa kamiti nikifikiri ni dame’ Shaffie Weru afunguka kuhusu masaibu
Mtangazaji Shaffie Weru amesema kwamba wakati mmoja alimtumia ‘nauli’ mfungwa katika gereza la Kamiti akifikiri kwamba alikuwa akimtumia mwanamke pesa hizo .
Akizungumza na Kalondu Muysimi wa Mpasho Shaffie amesimulia masiabu yake akisema ;
‘ Nimetuma nauli mara nyingi saba kabla ya kugundua . kuna wakati nilituma fare kumbe NLITUMIA MTU AKO KAMITI ANANYONGA MONKEY.
mtu asukudanganye asilimia 99.9 ya wanaume wametuma fare ..sasa nimepata funzo
Alipoulizwa kuhusu anavyoshughulikia tatizo la wasichana ambao huitisha nauli kila mara Shaffie alisema ;
‘ nmejifunza kuwapa blue ticks na hata wengine nawablock wakati mwingine unakutana na msichana mzuri na unapamua kumpa ushauri kama huu
‘PESA SIO SHIDA TUMIA YAKO NTAREFUND’ wanakasirika papo hapo
wanajibu wakikuambia , ‘SAA HII PESA YAKO KIDOGO NDIO INAFANYA URINGE?
unaweza kunusia hasira zao kupitia chats zenu na kuna wasichana wanaoitisha pesa za Pizza ,salon na vitu vingine
Ameongeza kusema ,
‘ wakati sina kazi nyingi za kufanya au nihitaji ‘nyama’ freshi mimi hungia katika DM za wasichana bila huruma