Tazama picha za mwanamke aliyeanguka Thompson Falls akichukua picha
Familia moja ya Kenya inaomboleza kifo cha binti yao aliyeteleza na kaunguka katika mto kwenye Thompson falls huko Nyahururu.
Jemimah Oresha alikuwa amewatemebela jamaa zake alipomtaka kakake kumpeleka katika eneo hilo maarufu .
Kakake alikubali na jumapili wawili hao walianza safari ya kwenda thoson falls amako Jemimh aliona jiwe ambalo aliamua alitaka appigwe picha akiwa amesimama juu ya jiwe hiolo katikati ya mto .
Akipiga pozi ili picha zichukuliwe aliteleeza kwa bahati mbaya na kuanguka mtoni huku kakake akiangalia bila kuweza kumuokoa dadake .
Kulingana na Mangafu dadake alifaa kusafiri kwenda nyumbani kwao Kitale siku ya jumatatu lakini hilo halitafanyika kwani hadi sasa mwili wake haujapatikana .
Nyahururu Falls ni maporomo ya maji yeye urefu wa (243 ft) katika mto Ewaso Ng’iro katikati mwa Kenya na kilomita kadhaa kutoka ziwa Ol Bolossat