- Willy Paul
- Willy Paul
- 66859869_2840039862736849_9154003376886622899_n
- Willy-Paul-696x418

Msanii willy Paul anafahamika kwa tabia zake za kitandani kulinga na wana wengi wa mjini ambao wamemjaribu , tabia za msanii Paul zimekuwa zikifichuliwa na wanawake hao mara kwa mara kupitia kwenye mitandao ya ย kijamii.

Pia wamekuwa wakifichua tabia zake za kuwatumia jumbe kwenye DM zao.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya Instagram willy Paul aliposti video akiucheza wimbo wake alioutoa hivi majuzi na mwanamke huku akiwa ameMshikilia kiunoni sambamba.

Baada ya kuposti video hiyo aliandika ujumbe mfupi unaowaonya wanaume wao wawashilie wapenzi wao ili hasiwanyakue.

https://www.instagram.com/p/CDf1lqgJzzK/

"THE KING HAS DECIDED TO ENTERTAIN YOU!! WEKA MANZI YAKO MBALI.. LOOK AT THE WAIST INA DE BEDROOM!!" Willy Aliandika.

Mashabiki wake hawakukimya bali kuacha video hiyo kupita baila hisia zao;

wicklife254 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kijana wa Salome ๐Ÿ˜€๐Ÿ’ช

carole.keysha 24 inch๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚wah. Hawa macelebs kumbe ni shobo tu

_tev_trig3 Ile mchezo uko nayo willy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

cute_iddah Fire waist๐Ÿ˜

moisbridgian namwekea kofuli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

mtengwa_one Uliomoka mbaka akili wewe unadai kuokoka sasa๐Ÿ˜‚

mapenzitown Hatari

View Comments