nameless

Baada ya msanii Nameless kuwashauri wanaume wanunu viti na fanicha nzuri, kwa maana mambo uharibika katika vyumba vya kulala alipokea kejeli nyingi kwenye mitandao ya kijamii.

Huu hapa ushauri wake kwa wanaume, kwa kweli hamna ndoa kamilifu, na wapiganao kwa hakika ndio wapendanao.

"WANAUME MIMI HUWAAMBIA UKIWEZA, NUNUA SOFA INAWEZA KUWA KITANDA SAFI NA TV CLEAR YA KUCHEKI MOVIE. UTAKUWA TUU SAWA KWA HII MANENO YA NDOA🤦🏾‍♂️…. SLEEPING ON THE COUCH NI KAWA😅.. MAKE IT COMFORTABLE😜😊." Nameless Aliandika.

Nameless ambaye amekuwa kwa ndoa kwa muda wa miaka 15, na mkewe Wahu wamebarikiwa na watoto wawili huku akisema kuwa ndoa si kitanda cha maua wala mahala pa kujivinjari.

"Wacha niambie watu ukweli kuna nyakati ambazo nimelala kwa kiti, na ilisaidia ndoa yangu."

Mashabiki wake hawakulaza damu bali waliibua hisia tofauti na hizi hapa baadhi za hisia zao;

chepkwony.cosmas usishout sana😂😂😂😂

bigpinjatelo Noted…..

cjay_meyers 😂😂😂😂😂😂…hii ni after,”you are sleeping on the couch” statement ama?

karanimulinya Hii umeongea kama wazee watu wanaomaskio wasikie👏👏👏

shiku854 😂😂😂😂kwani huyu mrembo wetu ni ngori hivi

philipmunyendo Buda ushasema 🔥🔥🔥

boss_cyrus The number of times I’ve slept on the couch. 🤦‍♂️. Enyewe si rahisi

ms_stevez 😂😂😂😂😂 Kulala kwa couch ni kawaida

greysonkakuru Aki mi ndo zangu hizo 😁

alfred_gathogo Why sleep on the couch when you own the house and you pay the rent …kick her out get another…

View Comments