Sarah ana mimba ! Harmonize atangaza kwamba mkewe anatarajia kupata mtoto
Staa wa Bongo Harmonize amefurahi sana baada ya kuthibitisha kwamba mkewe muitaliano Sarah Michelotti anataraji kupata mtoto
Wawili hao wamekuwa katika uhusiano kwa muda mrefu na hatimaye matunda ya uhusiano huo yameanza kuonekana . msanii huyo alizitoa habari hizo siku ya jumamosi wakati alipokuwa akipisha show ya muziki .
“ Tunataraji kupata mtoto hivi karibuni kwa sababu Sarah anatarajia tunavyozungumza sasa’ alisema msanii huyo
Tangazo hilo la Harmonize kuhusu habari hizo nzuri linajiri baada ya wawili hao kupata msukosuko katika uhusiano wao miezi michache iliyopita na hataSarha akaonekana kum unfollow mume wake katika mitandao ya kijamii .
Mwanamke anayedaiwa kuwa mpango wa kando wa msanii huyo Nicole Joy Berry na Sarah walijihusisha na katika bifu ya mtandao hatua iliyomfanya msanii huyo kwenbda instagram live na Nocole akiwaburudisha mashabiki wake wakati wa lockdown .
Sarah alighadhabika na kwenda kwenye section ya kutoa maoni na kumuita Nicole kahaba . .w
Yaonekana Harmonize na mke wake wamesuluhisha tofauti kati yao na sasa hivi karibuni watakuwa wazazi .