Ujumbe wa Jaguar kwa mtoto wa Hamisa wazua mambo
Hamisa Mobetto hajatoka kutoka ndimi za wengi na sakata nying bado zinamfuata hata nje ya uhusiano wake na Diamond Platinumz . licha ya familia ya Diamond kutompa heshima kama ilivyowapa baby mamas wengine wa Diamond ,Hamisa ana marafiki wazito akiwemo msanii Ali Kiba mabaye hata amemtumia katika video ya wimbo wake mapema mwaka huu .
Na yaonekana Hamisa ana mashabiki wengi wakiwemo wanasiasa wa hapa nyumbani kwani mbunge na msanii Jaguar alituma ujumbe wa kumtakia Birthday mtto wa Hamisa lakini baadaye akaufuta ujumbe huo mtandaoni .
Wanaokumbuka wanajua kwamba mwanawe Hamisa Daylan anafanana sana na mbunge huyo wa starehe na sio babake Diamond . nan i kitu cha kushangaza pia kwamba mtoto wa Hamisa anafanana sana na mtoto wa Jaguar
Mashabiki mtandaoni walijiamulia yao huku wengine wakigundua kwamba huenda Jaguar alikuwa na sehemu yake inayomenzi Hamisa
Hii sio mara ya kwanza kwa watu kudai kwamba mtoto wa Diamond hafananni na mwanamuziki huyo .imedaiwa kwamba Prince Nillan ambaye walimza na Zari anafanana sana na mume wa zamani wa Zari marehemu Ivan Ssemwanga.