14 August 2020 1 Min Read
Kauli ya Siku 14th Agosti 2020
by Yusuf Juma Habari
Kila chenye mwanzo mtamu kina mwisho wenye kilio
Hakuna kinachoanza vizuri ambacho wakati mmoja kitakumbw ana msukosuko .Wakati kitu kibaya kinapofanyika usiogope kuendelea ,ni sehemu ya safari .